Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Nipo kwenye mchakato wa kutafuta passport.nikitoka nikirud majaaliwa.
 
Nimehuzunishwa sana na taarifa hii mbaya ya kufukuzwa kwa Shekh Othuman Maalim kwani mimi ni miongoni wa wafuatiliaji wa Visa vyake. Namuomba Allah ampe subra katika mtihani huu na Allah amuhifadhi kama alivyo wahifadhi Mitume wake.
Aaamiyn
 
hahahah orodhesha majina moja nbaada ya jingne ulooteshwa wanaotakiwa kuhamia huko!
1.bashite
2.mzee ya chattle
3.le boss himself le supika....
4.mamaa ya GHASIA

Nmeota Kibiti umekuwa Mkoa na Mh. Sana Paul Makonda ametunukiwa Cheo hicho kutokana na kasi yake kuendana na Mufti Magu!
 



Naamini yanayotokea Kibiti, Mkuranga na Rufiji yana uhusiano na hizi ndoto
 
Mie nmeota Makao Makuu ya Nchi yamehamia Kibiti kutokea Dodoma ,nataka kuipeleka kwa Afande Sirro kwa utekelezaji!, nielekezeni wa Ndugu
Hahahaha. In upumbavu uliopitiliza mtu anakuja na mawazo yake et ameota ndoto then ategemee serikali ianze kufanyia kazi mawazo yake.

Yaan watanzania tuanze kuwa makin. Tuwe na mawazo na uelewa. Tusiwe wapumbavu kuanza kupumbazwa na wajinga wachache wanakuja na mawazo yao et ndoto. Kwanza alitakiwa kuwekwa ndan. Sio kufukuzwa tu huku ukiwa huru. Huyu alitakiwa kuwekwa ndan kabisa
 
Sijui wewe ndugu hata elimu ulisoma elimu ya aina gani? yana hata huwezi kupangilia mawazo yako na kuandika vizuri ili msomaji ambaye hajui chochote aweze kuelewa?
 
Hivi Muda nmezungumza kwa Simu na Sheikh Othman Maalim kutokea Znz ameanambia hizo taarifa za Sijui kuota na kufukuzwa Zanzibar ni za uzushi tuzipuuze!
 
Huyo Ust anaweza ishi nchi yoyote maana Ni mtu apendwae na watu wengi..so kama Zenji wamemfukuza basi si shida sana kwake maana ata Saudia/Oman huko kote ana jamaa zake na Insha'Allah Allah atamfanyia wepesi.
 
Mleta mada umewaweza kweli leo Ma gt wa Jf,Yani wanatokwa mipovu tu wamesahau hata kudai ushahidi wa hii habari
 
Ungekuwa mfano kwa kuwa makini na hii habari yenyewe kwanza kama ni ya kweli.
 
Hata mimi nimeota kwa siku 3 mfululizo kuwa Sheikh Othman atafukuzwa Zanzibar... Kumbe tayari kafukuzwa? Ndoto yangu kweli imetimia.
 
Sijui wewe ndugu hata elimu ulisoma elimu ya aina gani? yana hata huwezi kupangilia mawazo yako na kuandika vizuri ili msomaji ambaye hajui chochote aweze kuelewa?
Asante msomi
 
Hivi Muda nmezungumza kwa Simu na Sheikh Othman Maalim kutokea Znz ameanambia hizo taarifa za Sijui kuota na kufukuzwa Zanzibar ni za uzushi tuzipuuze!
Na habar hizi pia chanzo ni katika familia yke, halaf ivi iweje asitokee darsa karibia mwaka mmoja haijawah kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…