Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

aleesha

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
798
Reaction score
1,178
Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim

*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*

Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2

Licha ya kuwa sheikh othman maalim akifanya kazi zenu zote za kisiasa na akikutumikieni hadi kwenye matangazo ya vyandarua lakini hiyo ndio inaitwa fanya wema nenda zako usingoje shukurani Sheikh othman ameacha kazi zake makaazi yake wanafunzi wake na watu wake wa karibu lkn kwa kuambiwa ukweli tu serekali imeamua kumtimua
 
Na wewe ulikuwa unakimbizwa nin
 
Hivi ndio kitu kinachoitwa Ugaidi kinatengenezwa,kwani sheikh ana wanafunzi,wapenzi,ndugu na jamii ya hasa ndugu zake katka imani tutarajie nn hao watafurahia udhalilishaji huo?nchi inakwenda kibaya sana

ukiristo tuna neno kuwa na subira na kusamehe! nadhan sio sababu ya kuamsha chuki kwa wafuasi wake! jifunzeni kusamehe ili tuendelee kuishi kwa amani
 
Hivi wakati Zanzibar inapata Uhuru ilikuwa na waislamu asilimia ngapi?
Na asilimia ngapi ilisherehekea idi leo nangapi kesho?
 
Back
Top Bottom