Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Mie nimeota na kuona Noah milioni 45 zikiendeshwa kwetu Tanzania! Sijuwi niipeleke wapi hili li ndoto la makinikia?!
 
Mtasema amefukuzwa na wakatoliki tena? Au ametimuliwa na wazungu wa magharibi? Maana hamuishiwi vituko kusingizia wengine matatizo yenu
 
kama kwao ni kenya sio vibaya akarudi kuwasalimia tena ndugu zake.
 
mbona kama mmeweka udini kwanza.... no mater mnachoongea kama sio raia wa tanzania inabidi aheshimu sheria za nchi sasa hilo swala la ndoto kuwapelekea watu wa sheria ni kujichanganya.
 
wakuu hili jambo ni la uwongo . jana adhuhuri katusalisha..katika msikiti wake uliopo mtaa wa mombasa zanzibar..na yeye alikuwa imam wetu.
 
Kauli ya Magufuli


"Lakini niwaombe pia na wanasiasa ambao wameshindwas ku 'contol' midomo yao na muda mwingine wanazungumza hata vitu wasivyovijua, unakuta mwanasiasa anasema watu wamekaa sana rumande anashindwa kuelewa Marekani wale watu wabaya walikaa Guantanamo miaka na miaka, lakini kwetu wanaposhikwa watu ambao wanahusika na mambo ya ajabu katika nchi kuna watu wanaongea ongea. Pwani kuna watu wamekufa kule zaidi ya 35 askari zaidi ya 15 na wanaohusika na vifo hivyo ni pamoja na hao waliopo rumande lakini mtu anatoka anasema watu wamekaa mno, unaweza kuona huyo mtu naye anahusika kwa namna moja au nyingine, wasitufanye tukafika hapo sababu wataumia, wajifunze kufunga midomo yao wakati serikali inafanya kazi yake"
 
Back
Top Bottom