Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Dogo mada zinazohitaji utumiaji wa akili nyingi usiwe unaziparamia.. ficha upumbavu wako itakusaidia kwa wakati uliopoKWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Hiyo vita walipigania wapi?KWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Hahaha Mzee wetu Mohamed Said atakusimulia vizuri ila km haukuwepo kipindi hicho ni ngumu kuamini maana utaona km unasimuliwa picha la KihindiHiyo vita walipigania wapi?
Maana kila siku walipambania uhuru walipambania uhuru huku hamsemi walipigana lini hiyo vita.
HAKUNANi wp kwny katiba imeandkwa ili uandamane ni lazma polisi wakubali uandamane?
Ukisikia mtu anasema Watanganyika walipigania uhuru unajua hamnazo tu na unampuuzaHiyo vita walipigania wapi?
Maana kila siku walipambania uhuru walipambania uhuru huku hamsemi walipigana lini hiyo vita.
Kobazi hawanaga akili, wakiona ubwabwa akili zinarukaKWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Hawana akili Ila wamekutoa utumwaniKobazi hawanaga akili, wakiona ubwabwa akili zinaruka
Mbona kwasasa hawapambanii huo uhuru, au TZ ni peponi kwasasa???KWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Historia lazima itunzwe.Mbona kwasasa hawapambanii huo uhuru, au TZ ni peponi kwasasa???
AU kupenda haki kwao kulikufa na Nyerere???
Wewe risiti zako za IDs za utapeli tunazo kwenye VAR na ulivyokuwa unamiliki IDs za kumtukana Rais na kumdhalilisha tunazoKWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Inaonekana sasa aliyewaambia MBINYE VICHWA ili mtengenezw shepu la kichwa kuvalia baraghashia ndio aliwatoa akili kabisaHistoria lazima itunzwe.
LAZIMA TUWAHESHIMU WAISLAMUInaonekana sasa aliyewaambia MBINYE VICHWA ili mtengenezw shepu la kichwa kuvalia baraghashia ndio aliwatoa akili kabisa
Mkwawa jina lake ni abdallah,majimaji yule mbano songea jina lake ni Abdul rauf,kinjekitile ni abubakar,kuna abushir na bwana kheri,kuna abdulwahid Sykes na TAA,TANUHiyo vita walipigania wapi?
Maana kila siku walipambania uhuru walipambania uhuru huku hamsemi walipigana lini hiyo vita.
Sheikh ametoa onyo kwa Waislam kuhusu maandamano ya Desemba 25, akisisitiza kuwa jamii inapaswa kutazama matokeo ya mwisho ya hatua yoyote badala ya kushawishika na mipango au kauli zinazotolewa mitandaoni.
Akizungumza katika somo la siku, shekhe huyo amesema kuwa baada ya maandamano ya tarehe 9 kufeli, kumekuwa na hasira kubwa, hususan kutoka kwa watu walioko nje ya nchi.
“Tukio la tarehe 25 Desemba ambalo sasa hivi, ukiingia kwenye mitandao, watu wanalipanga; bado sisi kama Waislam tunatazama mwisho wa jambo. Sisi kama Waislam tunatazama mwisho wa jambo hili utakuaje, si kwa sababu ya mtu fulani amesema.”
“Baada ya kufeli lile la tarehe 9, watu wengi sana wamekasirika, na hasa wale walioko nje ya nchi — wale maadui wetu wa nje. Inaonekana walikuwa na mipango yao, na ile mipango baada ya kufeli, ndiyo mwisho wa siku wanasema Waislam wamefelisha maandamano.”
Sheikh huyo alihoji nia halisi ya waliokuwa wanapanga maandamano hayo, akisema: “Lengo lao lilikuwa Waislam waingie barabarani wakafe? Au wangeharibu nchi? Au wangechafua amani? Au wangechoma miundombinu?”
“Lengo lao lilikuwa ni nini mpaka waseme Waislam wamefelisha? Kwani nchi hii ni ya Waislam pekee yake? Si wapo na dini nyingine?”