PostGE2025 Sheikh Pembe: Lengo lao lilikuwa ni nini mpaka waseme Waislam ndio wamefelisha maandamano Desemba 9?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
shehe ubwabwa ni nani alisema waislam wamefelisha maandamano??
Ina maana policcm lote ni waislam?? Maana hao ndio waliotanda barabara zote kuhakikisha hakuna mtu yeyote anaandamana...
Hii imani unakuwa na inferiority complex .
 
KWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Nani awasikilize?
Walipigania uhuru so what??
Bilioni 400 zinaenda TEC Wala si BAKWATA.
TEC wanamiliki taasisi zao za afya na elimu zenye hadhi wao wameshindwa kuanzisha taasisi kama hizo.
Kwenye wakuu wa mikoa,RAS,wakuu wa wilaya,DAS, madaktari ,walimu,wabunge na baraza la mawaziri waislamu hawafiki hata robo kwenye kila sekta.
Hakuna serikali ya kuwapa mahakama ya kadhi Wala kuruhusiwa kujiunga na OIC.
Acha BAKWATA waendelee kuwapumbaza waislamu.
 
Kwanini wasiseme TEC ndo wamekwamisha maana hatujawaona TEC kina padre kitime na madera yao wakitoka kuandamana maandamano uchwara ya wizi na uhalifu na wakati wao ndo walikua wahamasishaji wakubwa
 
Kwenye kichwa cha habari ungesema sheikh wa BAKWATA ili kuweka uelewa wa aina ya sheikh
 
KWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
KUNA HISTORIA HAZINAGA TIJA KWA SASA, HADI LEO WATU WANABISHANA SWALA LA NANI KAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA??!
MI NADHANI TUPAMBANE KUTOKA HAPA TULIPO HAYO YA NYUMA YALISHAPITA, TUSIJIHANGAISHE SANA KUTAKA KURUDIA NYUMA SANA KUANDIKA HISTORIA UPYA NA HUKU YA SASA AMBAYO YANAJENGA HISYORIA YA SASA NA IJAYO HATUJAYAWEZA.
 
Mkwawa jina lake ni abdallah,majimaji yule mbano songea jina lake ni Abdul rauf,kinjekitile ni abubakar,kuna abushir na bwana kheri,kuna abdulwahid Sykes na TAA,TANU
Ulitaka kusemaje?

Naona bado kama ulikuwa unaandika umeishia njiani,fafanua kwanini umetaja majina ya hao jamaa?
 
Watulie tu sasa ili kila mtu ale matunda ya awamu ya sita
 
KWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Mtaje aliyemfadhili Nyerere? Tajiri wa wakati huo alikua John Rupia, na huyo ndiyo alimpa Nyerere pesa ya nauli kwenda siku hizo kunaitwa UNO. Hata faini ya kutoka jela baada ya kushikwa na wakoloni alitoa John Rupia.
 
Hao 'maadui wa nje' ni kina nani wasio na majina?

Maana imekuwa kama msamiati rahisi kila chawa anautumia kipumbaf!

Wanatakiwa kuwataja maadui hao na siyo kuweka maneno ya jumla jumla na ya kufikirika ili kupumbaza watu!

Matatizo tuliyonayo nchini badala ya kuyatanzua ili amani itamalaki, wao wanatafuta visigizio vya 'kifo cha nyani'!

Na Tundu Lisu wasingelikuwa wamemsweka jela, nadhani sintofahamu hii waliyoitengeneza wao kwa kukomaza mafuvu, wangelimrundikia yeye lawama zote hizi wanazostahili kuzibeba wao.
 
Mkwawa jina lake ni abdallah,majimaji yule mbano songea jina lake ni Abdul rauf,kinjekitile ni abubakar,kuna abushir na bwana kheri,kuna abdulwahid Sykes na TAA,TANU

kitu ambacho sielewi hawa muslim wa tanzagiza, wanatumia islam kumtetea samia wakati huo huo dini yao ya islam inakataza mwanamke kama samia kuwa kiongozi wa nchi achilia mbali amiri jeshi mkuu, afghanstan taliban wanawake hata shuleni hawaruhusiwi kwenda, nigeria wanateka watoto shuleni kwamba wasisome kwa kuwa tu ni wanawake, pakistani benezir bhuto alipigwa risasi na muslims kwa kuwa tu ni mwanamke, hata saudi wanawake wameanza kuruhusiwa hivi karibuni kuendesha gari karne ya 21.

samia ameweza tu kuwa raisi kwa sababu ya support ya Christians, kama wangekuwa muslims peke yao asingekuwa raisi hilo nina uhakika kwa 100% na hata angejaribu kwao zanzibar hakuna ambaye angempa chance sababu ya jinsia yake, yet muslims wanachonga midomo wakati wao muslims hawatoi nafasi kwa wanawake wao popote pale, very strange people …
 
Kwanini wasiseme TEC ndo wamekwamisha maana hatujawaona TEC kina padre kitime na madera yao wakitoka kuandamana maandamano uchwara ya wizi na uhalifu na wakati wao ndo walikua wahamasishaji wakubwa
Madera tunayaona leo ijumaa ni kila kona na vilemba juu bila kusahau kobazi chini
 
Ila huyu shehe naona anajitambua kaongea bila kutaja Imani nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…