gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam unakataza mwanamke kuwa kiongozi?kitu ambacho sielewi hawa muslim wa tanzagiza, wanatumia islam kumtetea samia wakati huo huo dini yao ya islam inakataza mwanamke kama samia kuwa kiongozi wa nchi achilia mbali amiri jeshi mkuu, afghanstan taliban wanawake hata shuleni hawaruhusiwi kwenda, nigeria wanateka watoto shuleni kwamba wasisome kwa kuwa tu ni wanawake, pakistani benezir bhuto alipigwa risasi na muslims kwa kuwa tu ni mwanamke, hata saudi wanawake wameanza kuruhusiwa hivi karibuni kuendesha gari karne ya 21.
samia ameweza tu kuwa raisi kwa sababu ya support ya Christians, kama wangekuwa muslims peke yao asingekuwa raisi hilo nina uhakika kwa 100% na hata angejaribu kwao zanzibar hakuna ambaye angempa chance sababu ya jinsia yake, yet muslims wanachonga midomo wakati wao muslims hawatoi nafasi kwa wanawake wao popote pale, very strange people …
Unajidanganya broo TEC wanataka kuirudisha Tanzania kuwa koloni la Wazungu na njia rahisi ni kuanda machafuko Ili Wazungu wao waingie kiurahisiKUNA HISTORIA HAZINAGA TIJA KWA SASA, HADI LEO WATU WANABISHANA SWALA LA NANI KAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA??!
MI NADHANI TUPAMBANE KUTOKA HAPA TULIPO HAYO YA NYUMA YALISHAPITA, TUSIJIHANGAISHE SANA KUTAKA KURUDIA NYUMA SANA KUANDIKA HISTORIA UPYA NA HUKU YA SASA AMBAYO YANAJENGA HISYORIA YA SASA NA IJAYO HATUJAYAWEZA.
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam unakataza mwanamke kuwa kiongozi?
Hawataki vilio makabulini,lete ushahidi uislam unakataza mwanamke kuwa kiongoziushahidi uko wazi kila mahali, islamic countries hazitoi uhuru kwa wanawake, hata kuzika tu hawaruhusiwi, ushahidi gani mwingine unataka? raisi samia uraisi wake umewezeshwa na Christians, muslims wa tanzagiza hawajawahi kutoa nafasi kubwa kwa muslim women, ila leo hii wanajifanya kumtetea …
Hawataki vilio makabulini,lete ushahidi uislam unakataza mwanamke kuwa kiongozi
Hizo nchi ulizotaja ndiyo uislam?..cardi b kafanya onesho Riyadh Saudi Arabia juzi,kanadi shuzi lake,ule ni uislamirani islamic republic na hata saudi arabia na zanzibar ni ushahidi tosha …
Walipambania wapi, madrasa? Ndiyo walikuwa wanaenda UN kwenye mijadala kuwashawishi Wazungu mpaka uhuru ukapatikana kwenye silver platter?KWAKUWA WAISLAMU NDO WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI NA KUMFADHILI NYERERE BASI WASIKILIZWE
Yale ya kina padre kitime kumbe siyo madera ni magauni?Madera tunayaona leo ijumaa ni kila kona na vilemba juu bila kusahau kobazi chini
Hizo nchi ulizotaja ndiyo uislam?..cardi b kafanya onesho Riyadh Saudi Arabia juzi,kanadi shuzi lake,ule ni uislam
Quran ndiyo uislam,zinazoitwa Sharia law siyo universalIran islamic republic, inafwata sharia Islamic law, ushahidi gani mwingine unahitaji zaidi ya huo, ayatolah ni muslim leader …
Jibu hoja achana na mambo ya kikeWewe risiti zako za IDs za utapeli tunazo kwenye VAR na ulivyokuwa unamiliki IDs za kumtukana Rais na kumdhalilisha tunazo
Sasa wewe endelea na kuleta taharuki nije nikukimbize
We Manfred
View attachment 3517509
Umeshiba minofu ya kitimoto 🐖Jibu hoja achana na mambo ya kike
Mashekhe wanaweka na viremba juu kama kina mama wa Tandale.Yale ya kina padre kitime kumbe siyo madera ni magauni?