Sheikh Ponda afikisha ujumbe wa watuhumiwa wa Ugaidi 187 kwa Rais Samia

2013 nani alikuwa madarakani kati ya kikwete na JPM?
 
2013 nani alikuwa madarakani kati ya kikwete na JPM?
Huwa najiuluza, hivi mwishoni mwa utawala wake, Kikwete alianza kufanya mambo ya kuwa too harsh kwa waislamu ili kujionyesha kuwa yeye siyo mdini?

Kuna mwaka amawehi kupeleka Jeshi la Wananchi (JWTZ) kariakoo ili kuwazuia waislamu wa msikiti wa Idrisa wasiandamane.

Hajawi kudeploy JWTZ kwa wapinzani lakini serikali yake imewahi kufanya hivyo kwa waislamu pale kariakoo
 
Majaji wanahongwa vyeo ili washindwe kutimuza wajibu wao ktk kutenda haki,badala wafanye kazi kwa maelekezo kutoka juu.
 
Mashehe ubwabwa wa bakwataccm wanakula tu kuku na ubwabwa kwny hafla za ikulu
 
Wewe ni mwendawazimu,hao wamefungwa 2013
 
Hii amani unayoiona sasa hivi ni kutokana na udhibiti uliokuwepo.tusije kuwa kama msumbiji...Gereza la Guantanamo mpaka leo halijafungwa na watuhumiwa kibao bado wanashikiliwa
Wai chatttttle kafagilie kaburi
 
Nchi hii inaendeshwa na siasa na sio utawala wa kijeshi. Hivyo matendo ya hovyo yeyote lazima yahusishwe directly na chama kinachosimamia serikali
Waasi siku zote hawaachi kuishutumu serikali iliyopo madarakani hapo ndipo unapozaliwa ugaidi uleeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…