GE2025 Sheikh Ponda alalama mawakala wake 35 kuzuiwa jimbo la Temeke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.

View attachment 3492745
Wamshike na tako kabisa
 
Sasa anategemea hao Mawaksla ndiyo watakaolinda kura zake....!?
 
Hawa ndio wabaya kuliko CCM, haiwezekani chadema wamekaa pembeni na kudai reforms alafu kuna wengine wanajiita wapinzani wanashiriki then yakiwakuta mnakujq kulialia. Yaani nikiwaona ACT na CHAUMMA naona tun safari ndefu sana kupata mabadiliko.

Unadhani hawa wote wangesusa CCM wangeendelea na kampeni au uchaguzi? Yaani viti vyote wapite bila kupingwa ingekua aibu ya karne ila sasa haya ndio yanahalalisha ushindi wa CCM.

Panda is a sell out
 
Hakuna mtu mwenye akili anaweza kushiriki huu uchaguzi, kugombea au kupiga kura ni kupoteza muda tuu
 
Back
Top Bottom