Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wamshike na tako kabisaMgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
View attachment 3492745
Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
View attachment 3492745
Yeye na Zitto walifikiri ccm ina hurumaHivi anadhani atatoboa?
Umbea wake, si tulisema NRNE?Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
View attachment 3492745
Inashangaza Kuna watu hawaijui CCM ya sasa,Wamshike na tako kabisa