GE2025 Sheikh Ponda alalama mawakala wake 35 kuzuiwa jimbo la Temeke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ponda ndio kajimaliza hivyo, hata kile kilichokuwa kinamtofautisha na wale Mabwenyenye wa Bakwata hakipo tena. Namsikitikia kwakweli😭😭😭😭
 
Bado yupo kwenye maongezi na Tume.

Inafikirisha sana
 
Dalali alimpeleka chaka kuhusu kugombea Ubunge, mkakati wake ulikuwa dhaifu, unafanya utoto mbele ya chama dola. Wenzao waliposema "No reforms, no election" waliona ni wajinga.

as along as wakishindwa kuzuia huo uchaguzi bado watabaki kuonekanwa wajinga. In ACT view of point)
 

nyie jamaa bana, kwahiyo kila wanachofanya chadema kila mtu adandie?
 
Muslimu is stupid brain
 
Sheikh una heshima kubwa tulikuonya toka mwanzo kwamba Hakuna uchaguzi nchi hii kwa sasa ukatuona wajinga - sasa kunywa hiyo mikojo ya CCM kimyaa - mwana kulitafuta.

Mpigie simu Samia akusaidie akupe Ubunge wa najisi.
 
Sheikh hatatoboa mbele ya yule mama wa ccm. Jimbo la temeke lina historia ya kipekee kuliko majimbo yote ya dar tangu zama za kina Kihiyo, mrema na khadija kusaga. Huyu sheikh angeweza kuleta ushindani mkali ila siasa za nyakati hizi hazimbebi, ajipambanie na hali yake
 
Siasa za uchaguzi wa mwaka huu ni vituko vitupu! Kimeundwa kikaragosi kigombee kama mpinzani halafu kinaadhibiwa vibaya bila huruma, CCM wanasema hawatachanganya pumba na mchele, kazi ipo
 
Sheikh kasema afakesha akilinda kura ngoja tuone wakati anapiga kelele za kuibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…