Sheikh Ponda alivyoeleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini.

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini. Hali inatisha ndugu zangu.

View: https://youtu.be/XtNxs-sdvDk?si=IuvbcoA8AqMTMtKU
 
Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini. Hali inatosha ndugu zangu.

Hongera Ponda. Umezungumza kwa utulivu na uwingi wa busara
 
Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini. Hali inatosha ndugu zangu.

View: https://youtu.be/XtNxs-sdvDk?si=IuvbcoA8AqMTMtKU

Ponda mmoja ni sawa na mashehe 1000 wa Bakwata.
 
Back
Top Bottom