Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Siku hizi nchi imekuwa na kiza kinene ...
Hongera Ponda. Umezungumza kwa utulivu na uwingi wa busaraGwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini. Hali inatosha ndugu zangu.
View: https://youtu.be/XtNxs-sdvDk?si=IuvbcoA8AqMTMtKU
Ponda mmoja ni sawa na mashehe 1000 wa Bakwata.Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini. Hali inatosha ndugu zangu.
View: https://youtu.be/XtNxs-sdvDk?si=IuvbcoA8AqMTMtKU
Ngoja wamfungie na yyGwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini. Hali inatisha ndugu zangu.
View: https://youtu.be/XtNxs-sdvDk?si=IuvbcoA8AqMTMtKU