huyu IGP Siro akiendelea kuachwa anaweza kuingiza nchi kwenye migogoro ya kidini na hii call ya Sheikh Ponda kutaka kujadili azimio la pamoja juu ya kauli ya Siro nadhani vita ndio inaanzia hapo.
Lakini kwa vyovyote vile siro ataenda kujifunza nini kwa mfano kwenye darsa za somo la Nahau kule Misikitini, ni uchochezi anataka kuufanya na Mama samia kama hatashtuka ataingizwa chaka la nguvu kwenye utawala wake., ogopa sana migogoro ya kidini katika nchi, imani ni kitu chengine.
Si kila kitu unatakiwa uige kwa sababu umekuta nchi nyengine kwanza Siro kwanza alipaswa kusoma georafia ya Tz watu wake wana nini na wanahitaji nini na nini kinaweza kuleta shida., Rwanda ni nchi ndogo sana.,