Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wao wanaona kama vile mambo yako vizuri, na vyombo vyao mbalimbali, mifumo yao mbalimbali, yote iko sawasawa, inakwenda vizuri, isipokuwa kuna watu fulani hivi ndio wakorofi, na watu wenyewe ni wananchi au ni wale wakosoaji, ndio tatizo wao. Hii kuonekana kukiri, kwa sababu ili muweze kuondokana na tatizo, ni lazima kwanza yale mapungufu yenu mkubali kwamba sisi tuna mapungufu haya. Umeona eh?"