Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Waislamu ni kweli wapo hao? Angalia video
===========
Yaani kama Mwenyezi Mungu angemruhusu mmoja akachungulia duniani basi dunia nzima inakuwa na nuru. Na kama ni usiku mwanga mtupu."
"Hawa mah hawajawahi kuguswa hata kusalimiwa na mwanadamu au jini. Wazuri pisi mwanangu pisi imetulia."
"Ladha yake starehe yake yaani ni kama vile hujawahi yaani ukipiga leo na unapiga baadaye tena haiishi... haishi."

- "Wanaume nyie vipi? Pambaneni pisi za peponi zinatusubiri huko."
- "Hakikisheni mnafanya mambo ya hairati... pisi za peponi mahuru la aini."