Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Zinakuja kaa kwa kutulia!Niazime nyota yako jamaaa yangu .. nimekuwa mzee wa kukosaa tu
Zinakuja kaa kwa kutulia!Niazime nyota yako jamaaa yangu .. nimekuwa mzee wa kukosaa tu
😁😁 kule watu wanahisi hisi watahisia na watu waliokufaa na kuwapa uhai mala ya pili, bwanaa weee 29 October imekula vichwaa vingiUnakumbuka selfika ulisema amedanja 😹
Leo umevurugwa!Pumbavu.
Nasubiri walahi 😁😁 nianze kufanya zoezi hapa hapa dunianiZinakuja kaa kwa kutulia!
😹😹😹 Kuna siku nilikufananisha naye akasema “Muache marehemu apumzike usimtaje” 🤣Kumbe huyu ndio mbaya wangu
😁😁 bwanaaa weee walikuwa wana kusingizia kuwa wewe ndio mie, kama parody lakooKumbe huyu ndio mbaya wangu
😁😁😁😁 Umeonana sasa😹😹😹 Kuna siku nilikufananisha naye akasema “Muache marehemu apumzike usimtaje” 🤣
Hamna JF wengi bado wapo. 😹😁😁 kule watu wanahisi hisi watahisia na watu waliokufaa na kuwapa uhai mala ya pili, bwanaa weee 29 October imekula vichwaa vingi
😁😁 ulikuwa na wasiwasi kwamba wamedanja auHamna JF wengi bado wapo. 😹
Nilikua na hofu na mzabzab na sis Joannah lakini wote wamerudi familia yangu..!!
Engineer wangu karudi 😹😁😁😁😁 Umeonana sasa
Bhana weeh!😁😁 ulikuwa na wasiwasi kwamba wamedanja au
Engineer wangu karudi 😹
Ila nilikua naogopa mzabzab mshkaji wangu sana. Nimezoea kucheka anavyokitetea kibamia chake..!! 🤣
😁😁 sasa hata PM mlikuwa hamu mtumii , hadi analalamika alijua angekutana na lundo la PM ila waaapiiiii kakuta kweupeeeeBhana weeh!
Ile siku ilikuwa mbaya inapita na hata ambao hawaandamani..!!
Vizuri wamerudi nilikosa raha juu yao..
Halafu mzabzab hakujua tu nilivyokua namtafuta humu..!!
Mi pm situmii 😹😁😁 sasa hata PM mlikuwa hamu mtumii , hadi analalamika alijua angekutana na lundo la PM ila waaapiiiii kakuta kweupeeee
Mno!mwamba hana kipengele labda kipengele uende nacho 😁
mmoja ya watu ambao tuliona pengo lake katika tasnia, yaani palipoooaa sanaa
nae ni mtu mjue anataka kubembelezwa kupetiwa petiwa, lakini waaapi mme mfungia vioo mzee wa punani 😁😁.. Mnatuma hata kauaa tu, PM si mmefunga kuwatesa vijana wa watuu kisaikolojia wabaki wana nyetuka tu kwa mwandikoMi pm situmii 😹
Huyo naye ana kisirani, pm kwanini wakati yeye kapotea jukwaani..!!
Imani ni utumwa sana..Waislamu ni kweli wapo hao? Angalia video
===========
Yaani kama Mwenyezi Mungu angemruhusu mmoja akachungulia duniani basi dunia nzima inakuwa na nuru. Na kama ni usiku mwanga mtupu."
"Hawa mah hawajawahi kuguswa hata kusalimiwa na mwanadamu au jini. Wazuri pisi mwanangu pisi imetulia."
"Ladha yake starehe yake yaani ni kama vile hujawahi yaani ukipiga leo na unapiga baadaye tena haiishi... haishi."
- "Wanaume nyie vipi? Pambaneni pisi za peponi zinatusubiri huko."
- "Hakikisheni mnafanya mambo ya hairati... pisi za peponi mahuru la aini."
View attachment 3606473
😁😁 angeona simu yako angepona pale pale, badala ya kukaa ICU na kujiuguza kwa miezi 8 angekaa wiki kadhaa tu, sema huku zamia PM kuchukua nambaMno!
Yani nilikua sisikii raha bila mzabzab JF
Nimezoea kukuta tag zake nyingi nikiingia JF ghafla akapotea NILIUMIA.
Ningekuwa na namba zake ningempigia..!!