Sheikh Rusaganya: Peponi kuna pisi kali (warembo), utamani kuachana naye

Dah! mwanawane pole sana, ungezingua ICU sasa hivi ungekuwa peponi unatombanaaaa tu 😁😁
Ah wee hizo somjo za hawa mashekh na mapadri achana nazo hamna kitu kama hicho mzeya tule mbusuau hapa hapa duniani
 
peponi hakuna mtu mfupi πŸ˜‚πŸ˜‚

wanawake nao wameeandaliwa nini baada ya kufa katika haki ?

pepo ya kupigana miti πŸ”₯πŸ”₯
Wanawake watakua miongoni mwa hao Wanawake wa peponi ila hao wa kutoka dunia watakuwa wazuri kuliko hao Nuur-a'in
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…