Zinakuja kaa kwa kutulia!Niazime nyota yako jamaaa yangu .. nimekuwa mzee wa kukosaa tu
ππ kule watu wanahisi hisi watahisia na watu waliokufaa na kuwapa uhai mala ya pili, bwanaa weee 29 October imekula vichwaa vingiUnakumbuka selfika ulisema amedanja πΉ
Leo umevurugwa!Pumbavu.
Nasubiri walahi ππ nianze kufanya zoezi hapa hapa dunianiZinakuja kaa kwa kutulia!
πΉπΉπΉ Kuna siku nilikufananisha naye akasema βMuache marehemu apumzike usimtajeβ π€£Kumbe huyu ndio mbaya wangu
ππ bwanaaa weee walikuwa wana kusingizia kuwa wewe ndio mie, kama parody lakooKumbe huyu ndio mbaya wangu
ππππ Umeonana sasaπΉπΉπΉ Kuna siku nilikufananisha naye akasema βMuache marehemu apumzike usimtajeβ π€£
Hamna JF wengi bado wapo. πΉππ kule watu wanahisi hisi watahisia na watu waliokufaa na kuwapa uhai mala ya pili, bwanaa weee 29 October imekula vichwaa vingi
ππ ulikuwa na wasiwasi kwamba wamedanja auHamna JF wengi bado wapo. πΉ
Nilikua na hofu na mzabzab na sis Joannah lakini wote wamerudi familia yangu..!!
Engineer wangu karudi πΉππππ Umeonana sasa
Bhana weeh!ππ ulikuwa na wasiwasi kwamba wamedanja au
Engineer wangu karudi πΉ
Ila nilikua naogopa mzabzab mshkaji wangu sana. Nimezoea kucheka anavyokitetea kibamia chake..!! π€£
ππ sasa hata PM mlikuwa hamu mtumii , hadi analalamika alijua angekutana na lundo la PM ila waaapiiiii kakuta kweupeeeeBhana weeh!
Ile siku ilikuwa mbaya inapita na hata ambao hawaandamani..!!
Vizuri wamerudi nilikosa raha juu yao..
Halafu mzabzab hakujua tu nilivyokua namtafuta humu..!!
Mi pm situmii πΉππ sasa hata PM mlikuwa hamu mtumii , hadi analalamika alijua angekutana na lundo la PM ila waaapiiiii kakuta kweupeeee
Mno!mwamba hana kipengele labda kipengele uende nacho π
mmoja ya watu ambao tuliona pengo lake katika tasnia, yaani palipoooaa sanaa
nae ni mtu mjue anataka kubembelezwa kupetiwa petiwa, lakini waaapi mme mfungia vioo mzee wa punani ππ.. Mnatuma hata kauaa tu, PM si mmefunga kuwatesa vijana wa watuu kisaikolojia wabaki wana nyetuka tu kwa mwandikoMi pm situmii πΉ
Huyo naye ana kisirani, pm kwanini wakati yeye kapotea jukwaani..!!
Imani ni utumwa sana..Waislamu ni kweli wapo hao? Angalia video
===========
Yaani kama Mwenyezi Mungu angemruhusu mmoja akachungulia duniani basi dunia nzima inakuwa na nuru. Na kama ni usiku mwanga mtupu."
"Hawa mah hawajawahi kuguswa hata kusalimiwa na mwanadamu au jini. Wazuri pisi mwanangu pisi imetulia."
"Ladha yake starehe yake yaani ni kama vile hujawahi yaani ukipiga leo na unapiga baadaye tena haiishi... haishi."
- "Wanaume nyie vipi? Pambaneni pisi za peponi zinatusubiri huko."
- "Hakikisheni mnafanya mambo ya hairati... pisi za peponi mahuru la aini."
View attachment 3606473
ππ angeona simu yako angepona pale pale, badala ya kukaa ICU na kujiuguza kwa miezi 8 angekaa wiki kadhaa tu, sema huku zamia PM kuchukua nambaMno!
Yani nilikua sisikii raha bila mzabzab JF
Nimezoea kukuta tag zake nyingi nikiingia JF ghafla akapotea NILIUMIA.
Ningekuwa na namba zake ningempigia..!!