Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Naona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.
Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe lakini ni mbwa. Pia Mwenyezi Mungu amlinde Rais wetu ndicho kamaliza kusema
Sasa hao mbwa ni wakina nani? Na wanawapa jeuri za kumtukana ni wakinani? Na je ni kweli Samia anatukanwa au anaambiwa ukweli?