GE2025 Sheikh Rusaganya: Rais Samia, HAO MBWA kuna waliowatia ujeuri hadi wanakutukana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Naona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!

Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.

Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe lakini ni mbwa. Pia Mwenyezi Mungu amlinde Rais wetu ndicho kamaliza kusema

Sasa hao mbwa ni wakina nani? Na wanawapa jeuri za kumtukana ni wakinani? Na je ni kweli Samia anatukanwa au anaambiwa ukweli?
Your browser is not able to display this video.
 

..Msemaji wa Serikali na Katibu Mwenezi wa Ccm wanapaswa kulaani kauli ya Shekhe huyu.
 

Ajue naye hiyo nguvu yake itaanza kupungua taratibu toka siku atakayoapishwa. Naye atakuwa MBWA KAMA MBWA WENGINE by 2030.
 
Hawa ndio viongozi wa dini ambao samia anawataka sasa nchi hii, maana wana akili kama zake.

Huyu huwezi kuskia kaguswa na chombo chochote cha watekaji a.k.a chombo cha dola.
 
Mbwa ni mama yako we mku#$&-;!?()/#@$%©®™du Rusanganya
 
Bila kujua wanazidi kumharibia katika dakika hizi za majeruhi
 
Hawa ndio viongozi wa dini ambao samia anawataka sasa nchi hii, maana wana akili kama zake.

Huyu huwezi kuskia kaguswa na chombo chochote cha watekaji a.k.a chombo cha dola.
Na yule malaya aliezeeka kule jana aliesema watu wanaoandamana wakatwe miguu wavunjwevunjwe watu km wale ndio anawapenda wakiibuka
 
Shehe mwenyewe ni jibwa linaowatukana mbwa wenzake. Wao wametumwa naye katumwa na nani kama siyo uchawa na useeengeee?
 
Na yule malaya aliezeeka kule jana aliesema watu wanaoandamana wakatwe miguu wavunjwevunjwe watu km wale ndio anawapenda wakiibuka
Kwa ufupi tu ukiwa kiongozi wa dini mwenye vinasaba vya ukatili na akili zako ni fyatu ndio unaonekana ni mtu wa maana kwenye serikali hii dhalimu ya samuya.
 
Kwahiyo kaamua kumsema Padre wetu Padre Nikata aliejiteka baada ya kuachwa na kimada au anamsea Kibiki aliekopa hela akaenda kubeti zikaliwa akaamua kujiteka?

awaache mapadre wetu sisi hatutaki ugomvi
 
Kwahiyo kaamua kumsema Padre wetu Padre Nikata aliejiteka baada ya kuachwa na kimada au anamsea Kibiki aliekopa hela akaenda kubeti zikaliwa akaamua kujiteka?

awaache mapadre wetu sisi hatutaki ugomvi
Umeanza fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…