Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hili jambo mtaalamu amelitengeneza na uhakika upo. Mikia mjue kichapo kipo kwa sababu uhakika huu tumepata kutoka kwa Sheikh mwenyewe, mtalaamu wa kutengeneza mambo.
Na pia mzee kutoka Tanga amesema vivyo hivyo baada ya yeye pia kuangalia kwenye satellite ameona tutakuwa na matokeo ya kumshangaza mnyama.
Napenda kuwatoa hofu wanaYanga, na pia nitumie nafasi hii kuendelea kuwapa pole ndugu na jamaa wa yule kijana aliyekatiza uwanjani siku ya Simba na Yanga mechi ya mwisho, tukaja kuchomoa magoli.
Tunasikitika kuwa kifo chake siku mbili baadaye kilihusishwa na tukio lile la yeye kujitoa mhanga kwa ajili ya team.
Yanga daima mbele, nyuma mwiko.