Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hili jambo mtaalamu amelitengeneza na uhakika upo. Mikia mjue kichapo kipo kwa sababu uhakika huu tumepata kutoka kwa Sheikh mwenyewe, mtalaamu wa kutengeneza mambo.

Na pia mzee kutoka Tanga amesema vivyo hivyo baada ya yeye pia kuangalia kwenye satellite ameona tutakuwa na matokeo ya kumshangaza mnyama.

Napenda kuwatoa hofu wanaYanga, na pia nitumie nafasi hii kuendelea kuwapa pole ndugu na jamaa wa yule kijana aliyekatiza uwanjani siku ya Simba na Yanga mechi ya mwisho, tukaja kuchomoa magoli.

Tunasikitika kuwa kifo chake siku mbili baadaye kilihusishwa na tukio lile la yeye kujitoa mhanga kwa ajili ya team.

Yanga daima mbele, nyuma mwiko.
 
shabiki maandazi huna unguli wowote, kaa utulie tuachie timu yetu
Mashabiki wa Yanga mnapenda kupewa matumaini, ili hali mnajua kabisa nyie ni wabovu.
haya kesho yanga anashinda 7 bila na anachukua ubingwa msimu huu VPL pamoja na wa FA.
pigeni makofi sasa!
Kaa utulie sindano iingie huna unguli wowote.Hahaha
 
Kwani yule kijana alie ingia uwanjani siku ya mpira wa simba vs yanga alifariki?
 
Game za Simba na Yanga zina ushirikina mwingi sana..na ndio maana hatuonagi soka safi. Janja janja nyingi sana nje ya uwanja. Kamati za ufundi ndio kipindi chao hiki, kiufupi kuna mengi sana yanafanyika nyuma ya pazia.
 
Simba tuko na beki mbovu sana,kama tulikua tunachomoa chomoa kwa lambalamba basi bila shaka tutapoteza hii game.
 
Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.


Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?

Tukutane dimbani 08.03.2020.

Simba 4-1 Yanga!
Bado swali lingine mtajiuliza.. Kipigo cha kesho mtakibataje.. Kesho ni kunyolewa tu manyoya
 
Back
Top Bottom