Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.

Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?

Tukutane dimbani 08.03.2020.

Simba 4-1 Yanga!
Hapana mkuu, Marekebisho kidogo.
Yanga 2-4Simba
 
Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.

Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?

Tukutane dimbani 08.03.2020.

Simba 4-1 Yanga!

Arushaone.....! Karibu Makambo Te. Kama hujawahi kupasikia niambie nikuelekeze.
 
Mimi Kama shabiki nguli wa Yanga SC nasema hivi hatuna timu ya kumfunga Simba, hizi Ramli hazitatusaidia chochote dhidi ya Simba.
Nn RAMLI HADI MWAMPOSA DK TULIENDA NA MAFUTA TUKAMWAGA UWÀNJANI. WATOKEE WAPI
 
Mashabiki wa yanga mnapenda kupewa matumaini, ili hali mnajua kabisa nyie ni wabovu.
haya kesho yanga anashinda 7 bila na anachukua ubingwa msimu huu VPL pamoja na wa FA.
pigeni makofi sasa!
ONGEA TENA
BAKISHA MANENOO
 
Back
Top Bottom