mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,023
- 1,622
Wanaweza futa magoli wakapata sare Kama game lililopita muda bado wanao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, Marekebisho kidogo.Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.
Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?
Tukutane dimbani 08.03.2020.
Simba 4-1 Yanga!
Umeingizwa mkenge na MshanaHapana mkuu, Marekebisho kidogo.
Yanga 2-4Simba
In this we have something in commonYanga lazima washinde
Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.
Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?
Tukutane dimbani 08.03.2020.
Simba 4-1 Yanga!
Mimi Kama shabiki nguli wa Yanga SC nasema hivi hatuna timu ya kumfunga Simba, hizi Ramli hazitatusaidia chochote dhidi ya Simba.
Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.
Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?
Tukutane dimbani 08.03.2020.
Simba 4-1 Yanga!
Nadhani jibu.LA sare iliopita limepatikana leo
Hivyo ulikuwa unakataa.
Mshana haina chochote zaidi ya kujua matumizi ya chumvi.Satelite za sheikh zimezidi ubora satelite za Mshana Jr
Nn RAMLI HADI MWAMPOSA DK TULIENDA NA MAFUTA TUKAMWAGA UWÀNJANI. WATOKEE WAPIMimi Kama shabiki nguli wa Yanga SC nasema hivi hatuna timu ya kumfunga Simba, hizi Ramli hazitatusaidia chochote dhidi ya Simba.
ONGEA TENAMashabiki wa yanga mnapenda kupewa matumaini, ili hali mnajua kabisa nyie ni wabovu.
haya kesho yanga anashinda 7 bila na anachukua ubingwa msimu huu VPL pamoja na wa FA.
pigeni makofi sasa!