simba imefungwa magoli 14 ktk michezo 26 na yanga imefungwa magoli 18 katika michezo 24.Simba tuko na beki mbovu sana,kama tulikua tunachomoa chomoa kwa lambalamba basi bila shaka tutapoteza hii game
Hivi yule kijana alikufa!?
hivi Kapombe alijuwa anapiga mpira uliotoka au kipofu mechi na AzamMimi Kama shabiki nguli wa Yanga SC nasema hivi hatuna timu ya kumfunga Simba, hizi Ramli hazitatusaidia chochote dhidi ya Simba.
Luis wa kawaida tazama mechi ya Azam na KageraYanga inafungwa mapema tu. Kuna beki wa Yanga atatolewa kwa red card. Simba itapata penart halali. Luis atapiga goli 3 na kuondoka na mpira wake. Habari ndio hiyo. Ova
Kwamba Yanga ni wazuri kuliko Lambalamba? Aisee kumbe!Simba tuko na beki mbovu sana,kama tulikua tunachomoa chomoa kwa lambalamba basi bila shaka tutapoteza hii game
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji1]Mimi Kama shabiki nguli wa Yanga SC nasema hivi hatuna timu ya kumfunga Simba, hizi Ramli hazitatusaidia chochote dhidi ya Simba.
Jumla mech zote 103 walizo kutana mbona husemi historia Ina mbeba Nani tusichukulie nusu nusu tusimba imefungwa magoli 14 ktk michezo 26 na yanga imefungwa magoli 18 katika michezo 24.
kwa takwimu hii nadhani umeshajua ni timu ipi mbovuView attachment 1379893
Sent using Jamii Forums mobile app
ok, basi kila mwamba ngoma aivutiw kwakeJumla mech zote 103 walizo kutana mbona husemi historia Ina mbeba Nani tusichukulie nusu nusu tu
kilicho akilini kitumie
Simba tuko na beki mbovu sana,kama tulikua tunachomoa chomoa kwa lambalamba basi bila shaka tutapoteza hii game
Kwamba Yanga ni wazuri kuliko Lambalamba? Aisee kumbe!
Mpira hauko hivyo mkuuLamba lamba wako vizuri idara zote kuliko yanga, ila amekufa mechi zote nne alizokutana na Simba safari hii, yanga amepigwa na lambalamba mkondo wa kwanza.
Hivyi utapima na bora kati ya yanga na Lambalamba, alafu Simba na hizo timu.
Sent using Jamii Forums mobile app