Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
simba imefungwa magoli 14 ktk michezo 26 na yanga imefungwa magoli 18 katika michezo 24.Simba tuko na beki mbovu sana,kama tulikua tunachomoa chomoa kwa lambalamba basi bila shaka tutapoteza hii game
kwa takwimu hii nadhani umeshajua ni timu ipi mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app