Kwahyo Simba hawana ulimbukeniYaani tangu wapate hiyo mimba waloinywea mitishamba muda mrefu jana wamejifungua mji mzima wanatema mate yanga acheni ulimbukeni
Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.
Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?
Tukutane dimbani 08.03.2020.
Simba 4-1 Yanga!
Najisikia poa tu mkuu
Ulimbukeni watoe wapiKwahyo Simba hawana ulimbukeni
kilicho akilini kitumie