Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

Yaani tangu wapate hiyo mimba waloinywea mitishamba muda mrefu jana wamejifungua mji mzima wanatema mate yanga acheni ulimbukeni
Kwahyo Simba hawana ulimbukeni

kilicho akilini kitumie
 
Ujinga ni nini? kama sio huu

Yanga mnafungwa! Achani kujipa moyo wakati mnajua moto wa Simba hamuuwezi.

Tunataka mtuambie ile sare ya tarehe 04/01/2020 mliipateje?

Tukutane dimbani 08.03.2020.

Simba 4-1 Yanga!
 
Back
Top Bottom