Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hana haja ya kupewa R.I.P.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
R.i.p alikuwa mwenzao huyoInasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
View attachment 3496815
Habari njema sana.Mi nliskia kapigwa risasi ya kiuno akiwa maeneo ya karibu na kule Mwananchi
Ni vizuri apate anachostahili.Kada wa CCM. Sema risasi hazichagui.
Hatakiwi kulala salama.Kama kweli ni kada wa chama cha wauaji.. alale salama
Acha kuwapangia watu hisia zao.Hakuna haja ya kufurahia kifo cha yoyote, hamna inayo zidi uhai, haidhuru ni nani.