SawaFinal Jahannam
(Usitamke faino jahannam, tamka hivi " fin ali jahannam")
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio ali.Sawa
Fin ali jahannam 😄
Huyo wa motoni.Bikira 72 huko peponi kazi wanayo 😂
Wakapita na yeye 🤣🤣🤣🤣View attachment 3496847
LALA SALAMA BROTHER, TULIONGEA MENGI NIKAKWAMBIA NITAKUJA TUONANE LAKINI NAHISI HAIKUPANGWA.
LEO MOYO UMENIUMA SANA NAONA BORA TUU MITANDAO ISINGEWASHWA.
KWAHERI NDUGU.
Machafuko?Hiyo ndo hali ilivyo kwenye machafuko risasi haina macho hata mtoto wako anaetoka shule inaweza kupita nae
Kwenye machafuko nani anakuwa anapigwa hizo risasi??Hiyo ndo hali ilivyo kwenye machafuko risasi haina macho hata mtoto wako anaetoka shule inaweza kupita nae
Majini ina maana mbili: ndani ya maji ( under water) na mashetani (demons). Hatujui yeye alikuwa majini ya namna gani kati ya hayo mawili.MAJINI HAYAKUMSAIDIA ??
Yoyote yule risasi haina machoKwenye machafuko nani anakuwa anapigwa hizo risasi??
Afe tuInasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
View attachment 3496815
Oya kuna video huko Telegram ukiangalia hulali.Wenzangu huko mnapata usingizi?
Aseeehhh.....mtihani sanaKuna video Ukimsikiliza anasema siku ya uchaguzi wenye nia ovu wote waangamie,kaangamia yeye nadhani alikuwa na nia ovu