Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Huyu ni mzimbabwe by SamiaInasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
View attachment 3496815
ChaiR.I.P
Kama kweli kaenda .Alipigwa risasi katika mazingira gani.
Kuna mwaka nimemaliza chuo nilitaka nipange kwake nikiwa simjui akawa na masharti magumu mara CCTV camera ipo anatazama kila unachofanya, mara usilete wageni bila taarifa nikaachana nayo. Ila alikuwa akipangisha mtu ukakaa siku chache ukashindwa masharti anakurudishia hela bila kusita.
Jambo jema.Huyu shehe alisema Polepole akifa atachinja ngamia kusherehekea na akasema atamsomea albadiri ili afe.
Sasa jini la albadiri likamtuma askari wa samia akamtandika risasi.
Du! Wameua hata muislam mwenzao! Kwani alishindwa kulitabiri hili!!!Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
View attachment 3496815
Aisee usingizi umekata kabisa..haya ninayoyaona yanatisha sanaWenzangu huko mnapata usingizi?
Leo pagumu. Nahisi nahitaji psychologist maana kama nahisi nife tuWenzangu huko mnapata usingizi?
Mimi nimepata mzuka zaid wa kuandamanaLeo pagumu. Nahisi nahitaji psychologist maana kama nahisi nife tu
Tumshukuru Mungu kwa hili dogo.Du! Wameua hata muislam mwenzao! Kwani alishindwa kulitabiri hili!!!
ChaiMimi nimepata mzuka zaid wa kuandamana
Mkuu naomba futa hayo mawazo..life is still worth livingLeo pagumu. Nahisi nahitaji psychologist maana kama nahisi nife tu
Final JahannamInnallillahi wainalilahi rajiun