Mungu hadhihakiwi!Kuna video Ukimsikiliza anasema siku ya uchaguzi wenye nia ovu wote waangamie,kaangamia yeye nadhani alikuwa na nia ovu
KabisaMungu hadhihakiwi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aiseeee kaenda na hina zake ndevuni
Asitokee Mtu akagawa silaha. Nimeuona watoto wajeuri wakiwa mikojo mitupu. Patachimbika humu ndani.Mi nlikuwa nashuhudia mbungi tu