Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
KAPIGWA RISASI ZA TUMBO NA KALIO AKIWA AMETOKA KUANGALIA MILIO YA RISASI ZILIZOUA WAHUDUMU WAWILI WA BAR ILIYOPAKANA NA NYUMBA YAKE.kupigwa na kitu kilichoelezwa kuwa risasi
Duh ilikuwa patashikaKAPIGWA RISASI ZA TUMBO NA KALIO AKIWA AMETOKA KUANGALIA MILIO YA RISASI ZILIZOUA WAHUDUMU WAWILI WA BAR ILIYOPAKANA NA NYUMBA YAKE.
HAO WAHUDUMU WALIPIGWA RISASI WAKIWA NDANI YA ENEO LAO LA KAZI.
Watu hawajui kuwa hawa watawala wanapotaka kulinda madaraka yao huwa hawaangalii kama wewe ni ccm au chadema, ukiingia kwenye 18 tu wanakufyatuaHuyu si alikuwa SAPOTA wa mama mi5 tena, kada MTIIFU wa chama cha MAJAMBAKUZI
Hakika, imekuwa vigumu sana Watanzania kuelewa madikteta wanaweza kufanya jambo lolote kulinda tawala zao hivyo inabidi kuwaepuka na kujitenga nao kama ebola.Watu hawajui kuwa hawa watawala wanapotaka kulinda madaraka yao huwa hawaangalii kama wewe ni ccm au chadema, ukiingia kwenye 18 tu wanakufyatua
Yule mtangazaji wa clouds fm nae alikua timu tunatiki, lakini wakamtiki risasi ya kichwa
Kamwr usiwe rafiki wa shetani moa nyama, atakula nyama za watu, siku akikosa hata wewe jamaa yake anakutafuna tuWatu hawajui kuwa hawa watawala wanapotaka kulinda madaraka yao huwa hawaangalii kama wewe ni ccm au chadema, ukiingia kwenye 18 tu wanakufyatua
Yule mtangazaji wa clouds fm nae alikua timu tunatiki, lakini wakamtiki risasi ya kichwa
Inatia hasira kuona mtu wa ccm anakiona yupo salama, hajui hawa watu kwenye kulinda madaraka hawaangalii kama wewe ni ccm.Hakika, imekuwa vigumu sana Watanzania kuelewa madikteta wanaweza kufanya jambo lolote kulinda tawala zao hivyo inabidi kuwaepuka na kujitenga nao kama ebola.
Umesema ya kweli.Kamwr usiwe rafiki wa shetani moa nyama, atakula nyama za watu, siku akikosa hata wewe jamaa yake anakutafuna tu
Nani?Yule mtangazaji wa clouds fm nae alikua timu tunatiki, lakini wakamtiki risasi ya kichwa
😁😁 huna akiliSafi. Muda huu ameshakabidhiwa mabikira 72 na glass ya mvinyo
Kmly*Nani?