Sheikh Sharifu Majini amezikwa leo Novemba 5 makaburi ya Kisutu, baada ya kupigwa risasi oktoba 29

Sheikh Sharifu Majini amezikwa leo Novemba 5 makaburi ya Kisutu, baada ya kupigwa risasi oktoba 29

Inasikitisha sana, bila kujali itikadi zetu, ni vyema tuuweke ubinadamu mbele. Mimi huyu alikuwa ananikera hilo jina lake la majini, lakini siwezi furahia namna alivyoodhurumiwa uhai wake 😭
 
Screenshot_20251105_172516_Chrome.jpg
 
Aliwatapeli waislamu kwenye mihadhara akiwafadhili baadhi ya vijana wanaojua Quraan na kuwatumia kupata fedha ushahidi ninao.
 
Back
Top Bottom