TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

huyu israel kahamia sasa kwenye misikiti baada ya makanisan

😳 😳 😷 😷
 
#CORONAVIRUS: MCHUNGAJI WA KANISA LA EFATHA, JOSEPHAT MWINGIRA ATAKA WAUMINI WAKE KUVUA BARAKOA

> Ametoa kauli hii tarehe 3 Mei, 2020 wakati ambapo Serikali na Wataalam wa Afya, wakisisitiza matumizi ya Barakoa kama nyenzo ya kuzuia maambukizi ya #COVID19 hasa katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu

> Je, una maoni gani kulingana na kauli na maagizo ya Kiongozi huyu wa Kiroho?

#JFCOVID19_Updates

MH!!!
 
hilo kanisa lifungwe haraka haraka
 
Aisee!! Zama hizo miaka ya sabini alikuwa ni mtu wa karibu sana na Mzee wangu. M/Mungu ampe rehema zake!!
 
Kifo haijui umaarufu wako!
Very Sad.
 
Mbele yake nyuma yetu,Apumzike kwa Amani Sheikh Kilemile.
 
Poleni sana kwa majonzi ya msiba ndugu, jamaa, marafiki na wote mnao mfahamu
 
Jabali la kufasiri Qur an kwa zaid ya Miaka Arobaini amerejea kwa Mola wake

Hili Jabali halikuwa maarufu kwa Wanasiaasa kwa kuwa hakuwa Mlamba viatu

Allah amsamehe Makosa yale na ampe mapokezi Mema

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeye na dingi yangu misimamo yao sawa sawa, ndiyo maana walikuwa marafiki.Umenena vyema mdau hawaabudu binaadamu
 
Back
Top Bottom