Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ok.🐒Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na kuwakumbuka waathirika wa matukio ya Oktoba 29. Amesema damu ya watu waliopoteza maisha, wakiwemo watoto, haiwezi kupuuzwa katika maombi ya taifa.
Akizungumza kwa msisitizo, Sheikh Summercliff amewataka viongozi hao kuacha kile alichokiita unafiki na badala yake kuwaombea kwanza waliokufa bila hatia. Pia ametaka taifa kukiri makosa na kumuomba Mungu kuhusu maumivu yaliyowapata waathirika na familia zao.
Mnyaaz Mungu akujaalie hikma na ilmu duniya.
Ana hoja na wenye akili watatambua kuwa huenda maombi kuhusu elnino yasitoboe kwa sababu ya unafiki wa kudharau damu za watu zilizomwagwa.Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na kuwakumbuka waathirika wa matukio ya Oktoba 29. Amesema damu ya watu waliopoteza maisha, wakiwemo watoto, haiwezi kupuuzwa katika maombi ya taifa.
Soma >> Mufti Abubakary Zubeir: Fungeni siku tatu kuombea taifa
Akizungumza kwa msisitizo, Sheikh Summercliff amewataka viongozi hao kuacha kile alichokiita unafiki na badala yake kuwaombea kwanza waliokufa bila hatia. Pia ametaka taifa kukiri makosa na kumuomba Mungu kuhusu maumivu yaliyowapata waathirika na familia zao.
Si tuliwaambia msiandamane , mkatuita mashekhe ubwabwa, hao mashekhe ndiyo wameua watu ..Sisi ni amani tu , wafuateni TEC wakatubu ndiyo waliowashawishi . Kila aliyeandamana na kupelekea vurugu zile ni kafiri.
We jamaa ni muislam kwei?Si mliambiwa msiandamane , mnaleta huruma ya nn ..Nyie wanafiki na wajinga , wafuateni TEC waliowashawishi kuandamana . Waislamu hatujui maandamno , aliyekufa kwa kufanya vurugu hizo ni kafiri, mlikuwa mnaambiwa sasa mmepata akili .
Uislamu ni amani , siku nyingine mkiambiwa msifanye fujo basi mzingatie sio kuwasikiliza TEC wa mchongo ;sasa TEC wako kimya .
We jamaa ni muislam kwei?
Ukiwaona hao wanaosema tuombee taifa na wafuasi wao walivyojikausha kuhsu matukio ya Oktoba 25 utasema ni wageni hapa nchini.Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na kuwakumbuka waathirika wa matukio ya Oktoba 29. Amesema damu ya watu waliopoteza maisha, wakiwemo watoto, haiwezi kupuuzwa katika maombi ya taifa.
Soma >> Mufti Abubakary Zubeir: Fungeni siku tatu kuombea taifa
Akizungumza kwa msisitizo, Sheikh Summercliff amewataka viongozi hao kuacha kile alichokiita unafiki na badala yake kuwaombea kwanza waliokufa bila hatia. Pia ametaka taifa kukiri makosa na kumuomba Mungu kuhusu maumivu yaliyowapata waathirika na familia zao.
Kwa hiyo hao mashekhe wanahusika ? Walimwaga damu ya nan?Ukiwaona hao wanaosema tuombee taifa na wafuasi wao walivyojikausha kuhsu matukio ya Oktoba 25 utasema ni wageni hapa nchini.