Wakuu,
Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi
Hoja za Sheikh
- Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu
- Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao
- Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange Kimambi ambaye si Muislamu
- Tanzania hii ikitokea vurugu kubwa risasi haichagui muislamu wala mkristo wote tutakuwa katika taharuki
- Sisi tunashawishi watu wasifanye fujo tunapata dhawabu kutoka kwa Mungu
- Musiba alisema Mange Kimambi amezaa na Baba yake, mpaka leo sijaona amekanusha maneno hayo
- Watanzania wampuuze Mange amelaaniwa, ni dalali wa nafsi za watu