Wao ukiwapa tu sahani ya ubwabwa tu kwisha habari yao waandikie chochote watasema sasa kama huyo shekhe kajichubua unafikiri nini?Hawa jamaa hata common sense hakuna.
Waandishi wameacha kazi zao, au wako kazini?Wakuu,
Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi
Hoja za Sheikh
- Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu
- Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao
- Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange Kimambi ambaye si Muislamu
- Tanzania hii ikitokea vurugu kubwa risasi haichagui muislamu wala mkristo wote tutakuwa katika taharuki
- Sisi tunashawishi watu wasifanye fujo tunapata dhawabu kutoka kwa Mungu
- Musiba alisema Mange Kimambi amezaa na Baba yake, mpaka leo sijaona amekanusha maneno hayo
- Watanzania wampuuze Mange amelaaniwa, ni dalali wa nafsi za watu
Kinachosikitisha zaidi hawa wamepewa kibali na Samia ya kuongea hayoπ Inafikirisha sana huyu Shehe anaongea upuuzi mbele ya watu wanaojitambua
Hapana anaongea mbele ya watu wasiojitambua, mazezeta, ndio maana sisi tunawashangaa.π Inafikirisha sana huyu Shehe anaongea upuuzi mbele ya watu wanaojitambua
huyo ni sheikh wa wapi?Wakuu,