Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

Serikali haina Dini hivyo nyie masheikh "ubwabwa" msitake kuwachonganisha waislam na wakristo nchini Tanzania.
 

Kwani Mange sio binadamu na hawezi kuwa kweli. Jibuni hoja udini hamtofanikiwa
 
Ifikie wakati na nyinyi Waiskamu muweke vigezo vya kielimu kwa watu kuwa masheikh kwenye dini yenu. Haiwezekani muongozwe na viongozi wenye njaa na upeo mdogo kama hawa masheikh wenu.
 
Huyu ni mhadhiri au mwanazuoni?
 
Sijui wanajisikiaje watu wanaosema kila siku hata hawana time ya kuwajibu.

Hii ni zaidi ya dharau.
 
Kila mwananchi ana haki ya kutoa mawazo yake kama wewe fala unavyofanya. Kwa hiyo unataka Pd. Kitima asiseme kuwa wananchi wasio na hatia waliuawa? Kweli wewe akili yako ipo kwenye makalio yako, mpumbavu wewe sheikh ubwabwa.
 
Hawa masheikh wanatakiwa wajue hili kwanza:
 
Angalia hii verse inasemaje.....Hii ni usemi wa mtume Muhammad SAW.
Kwa wale wanaojua kiingereza watusaidie kutafsiri.
Muhammad analogized Satan's appearance to that of a black man. Ibn Ishaq, p. 243: 'Whoever wants to see Satan, let him look at Nabal b. al-Harith!' He was a sturdy black man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…