Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Moderators hili andiko ni POTOSHIMambo ya Imani magumu sana
"Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote, kaifum hiyo ni tafsiri ya kwanza na ni lugha ya kiarabu fasaha sio masuala ya ushia. Tafsiri ya pili aina mahala popote kama ni nyumbani, kama ni barabarani, kama ni sokoni. Tafsiri ya tatu ni harituma sehemu wake zenu ni mashamba yenu yaendeeni mashamba yenu sehemu yoyote mpendayo, masikioni, kichwa ndio maana ya haifani."
Mzungumzaji anaendelea kueleza kuwa: "Kwa hiyo sasa anayekuja akawatuhumu mashia aituhumu Quran na ndio maana aya huwezi ukaitumia kuharamishia kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile. Huwezi ukatumia aya hii kwa sababu aya ni mujmal. Sasa inabidi turudi katika riwayat, riwaya zilizopokelewa zinasemaje? Riwaya riwaya tukirudi kwenye vitabu vya kisunna, sitaki kwenda kwenye habari za mashia, tukirudi kwenye vitabu vya kisunna tunawapata baadhi ya maswahaba waliofanya tendo hilo
Mambo ya Imani magumu sana

Kwa nini watenda dhambi watapewa adhabu ya kaburi na watachomwa moto??Quran na biblia zote zinasema kuwa Mwanadamu amepewa free will ya kuchagua mema au mabaya so it is up to you
Muulize mleta mada si ajabu akakwambia bora motoni ili akachome mahindiKwa nini watenda dhambi watapewa adhabu ya kaburi na watachomwa moto??
Wanawake kutafuna Koni ni haramu kinyume cha dini??Hivi hata kimantiki tu haimake any sense.
Kama Quran na Biblia zinasema wanadamu wana freewill kwa nini wakitumia freewill yao kufanya mambo ya shetani wanaadhibiwa??Muulize mleta mada si ajabu akakwambia bora motoni ili akachome mahindi
Hapa kwa kweli mpaka tumuite mtalamu wa mambo haya mtagi Paschal Mayala atusaidieKama Quran na Biblia zinasema wanadamu wana freewill kwa nini wakitumia freewill yao kufanya mambo ya shetani wanaadhibiwa??
Si haramu.Wanawake kutafuna Koni ni haramu kinyume cha dini??