Mambo ya Imani magumu sana
"
Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote,
kaifum hiyo ni tafsiri ya kwanza na ni lugha ya kiarabu fasaha sio masuala ya ushia. Tafsiri ya pili
aina mahala popote kama ni nyumbani, kama ni barabarani, kama ni sokoni. Tafsiri ya tatu ni
harituma sehemu
wake zenu ni mashamba yenu yaendeeni mashamba yenu sehemu yoyote mpendayo, masikioni, kichwa ndio maana ya
haifani."
Mzungumzaji anaendelea kueleza kuwa: "Kwa hiyo sasa anayekuja akawatuhumu mashia aituhumu Quran na ndio maana
aya huwezi ukaitumia kuharamishia kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile. Huwezi ukatumia aya hii kwa sababu aya ni
mujmal. Sasa inabidi turudi katika
riwayat, riwaya zilizopokelewa zinasemaje? Riwaya riwaya tukirudi kwenye vitabu vya kisunna, sitaki kwenda kwenye habari za mashia, tukirudi kwenye
vitabu vya kisunna tunawapata baadhi ya maswahaba waliofanya tendo hilo