JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine.
Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa, ni maamuzi ya Baraza, ni chombo chetu tumekiweka na kina mamlaka ya kufanya hivyo, maamuzi ya wao kunitengua sijui wataitaja wao lakini haina shida.”
Chanzo: Clouds FM