Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Msikilize huyu eti umekuja lini mjini?Kavunja ndoa ya Mwaka. Unataka uhakika gani teba?
Mange alitoa ushahidi lukuki wa uzinzi wa huyu shekhe. Unekuja lini mjini mkuu? MangeKimambi akaenda mbali zaidi na kusema shekhe anapakuliwa pia. Hukumbuki ama ulikuwa huna smartphone?
Mimi sio wa kuja kma ww wa kutoka huko nga'mbo
Yni ni just ujinga ulonao ety mange kasema
Kwaio na mimi nikisema ww upo hivi na vile kwaio tyr ndo upo hivo?
Tukienda mahakamani una ushahidi tosha wa ulisemalo?
Nb."Words spoken has power"