Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine.

Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa, ni maamuzi ya Baraza, ni chombo chetu tumekiweka na kina mamlaka ya kufanya hivyo, maamuzi ya wao kunitengua sijui wataitaja wao lakini haina shida.”

Chanzo: Clouds FM
Ametenguliwa au mission yake imeisha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu sheghe alianza vizuri Sana, wengi walitegemea angekua Mufti. Sasa mkubwa huyu awamu ya tano ilipoanza akaacha kazi yake na kuanza kumuabudu mwendazake. (Clip tunazo mpaka anazo kufuru) hakuishia hapo, akaanza malumbano social media, tuhuma zikaanza dhidi yake mpaka za kuendesha gari kwenye barabara za vumbi.
Mimi nilijua anayemuabudu binadamu mwisho wake Ni pale huyo anae muabudu akifa.
 
Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine.

Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa, ni maamuzi ya Baraza, ni chombo chetu tumekiweka na kina mamlaka ya kufanya hivyo, maamuzi ya wao kunitengua sijui wataitaja wao lakini haina shida.”

Chanzo: Clouds FM
Huyo kashaharibu katika ulimwengu wa roho hawa jamaa shirk ndio mchezo wao ukiharibu umekwisha.
 
Avue joho aanze kuvaa vinjunga sasa kama kina Lokole maana alikuwa anatamani hasa maisha ya kidunia ila wadhifa ulikuwa unambana.
 
Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine.

Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa, ni maamuzi ya Baraza, ni chombo chetu tumekiweka na kina mamlaka ya kufanya hivyo, maamuzi ya wao kunitengua sijui wataitaja wao lakini haina shida.”

Chanzo: Clouds FM
sasa aingie kwenye siasa rasmi kwa sababu humkosi kweye uchawa wa ccm
 
Mange alitoa ushahidi lukuki wa uzinzi wa huyu shekhe. Unekuja lini mjini mkuu? MangeKimambi akaenda mbali zaidi na kusema shekhe anapakuliwa pia. Hukumbuki ama ulikuwa huna smartphone?
Mange ndio ushahidi? Haya madai ni mazito mno. Sijui kwanini watu tunajibebesha mizigo mizito mno kwenda nayo kwa Allah. Ukienda kuulizwa utatoa ushahidi?
 
Watanzania mnachuki sana halafu bila sababu za msingi.

yaani unakuta Sheikh kua pale alipokua haikupunguzii chochote ila roho inakuuma kinoma.

kazi sana ...
 
Back
Top Bottom