JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Aende zake uko Sheikh wa siasa, za makonda
AmeshavurugwaAlitaka kukata rufaa wapi na ili iweje
Kwani ungekuwa wewe ungetaa pesa?Huyu sheikh hafai hata kulumangia!
Amefaidi sana hela za shetani Magufuli!
Kutokana na Tabia zake Chafu na zisizompendeza hata Mwenyezi Mungu ( Allah ) huku Kutenguliwa Kwake Kumechelewa mno japo najua Mbinguni Kuni zake za Kuchomwa Moto vibaya zimeshahifadhiwa na zinamsubiri.Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine...
Tuhuma za uzinzi una uhakika nazo?Shekhe ana mdomo mchafu.
Shekhe ni mzinzi mpk anavunja ndoa za watu??
Dah watu mna chuki sanaa ila kma kafanya dhambi anaweza akatubia na akasamehewa vizuri tu na Muumba wakeKutokana na Tabia zake Chafu na zisizompendeza hata Mwenyezi Mungu ( Allah ) huku Kutenguliwa Kwake Kumechelewa mno japo najua Mbinguni Kuni zake za Kuchomwa Moto vibaya zimeshahifadhiwa na zinamsubiri.
Kumbe kuzijua Dhambi za Mtu na Kuzikemea au Kusikitika nazo ni Chuki Kwake / Kumchukia? Nilikuwa sijui hili Kiongozi wangu.Dah watu mna chuki sanaa ila kma kafanya dhambi anaweza akatubia na akasamehewa vizuri tu na Muumba wake