Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 3,380 Reaction score 5,906 Feb 3, 2023 #41 Sexless said: Kavunja ndoa ya Mwaka. Unataka uhakika gani teba? Mange alitoa ushahidi lukuki wa uzinzi wa huyu shekhe. Unekuja lini mjini mkuu? MangeKimambi akaenda mbali zaidi na kusema shekhe anapakuliwa pia. Hukumbuki ama ulikuwa huna smartphone? Click to expand... Msikilize huyu eti umekuja lini mjini? Mimi sio wa kuja kma ww wa kutoka huko nga'mbo Yni ni just ujinga ulonao ety mange kasema Kwaio na mimi nikisema ww upo hivi na vile kwaio tyr ndo upo hivo? Tukienda mahakamani una ushahidi tosha wa ulisemalo? Nb."Words spoken has power"
Sexless said: Kavunja ndoa ya Mwaka. Unataka uhakika gani teba? Mange alitoa ushahidi lukuki wa uzinzi wa huyu shekhe. Unekuja lini mjini mkuu? MangeKimambi akaenda mbali zaidi na kusema shekhe anapakuliwa pia. Hukumbuki ama ulikuwa huna smartphone? Click to expand... Msikilize huyu eti umekuja lini mjini? Mimi sio wa kuja kma ww wa kutoka huko nga'mbo Yni ni just ujinga ulonao ety mange kasema Kwaio na mimi nikisema ww upo hivi na vile kwaio tyr ndo upo hivo? Tukienda mahakamani una ushahidi tosha wa ulisemalo? Nb."Words spoken has power"