Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

View attachment 1439997

Sheikh Mohamed kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono ( Sanitizer ) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao.

Chanzo : EA TV

Nakala : FaizaFoxy
Hata sabuni wanazotumia zina kilevi sijui wataepukaje kunajisika. Dini za kimwili matatizo kweli.
 
Vita vitani, vita vya kutokomeza Covid19 inapokumbana na vita
 
Na perfume wasipulize
Hiyo mask ni ya watoto ama maana imefunika mdomo tu [emoji2957]

Sent from my iPhone using Tapatalk
shehe anapenda sana,kuvaa mlegezo.

Kofia kavaa mlegezo
Barakoa mlegezo
...... Nayo itakua,mlegezo
 
Hiki ndicho kinachotokea sasa.
IMG-20200327-WA0007.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shehe kafeli parefu sana. Matumizi ya sanitaiza ni kunywa au tiba ya kujinusuru na maambukizi ya magonjwa nyemelezi
 
Barakoa yenyewe ilivyovaliwa daa, kama unaulewa wako unajikinga mwenyewe hiyo kutwa nzima unashika mangapi hizi elimu, ila anaonekana tu wala huwezi umiza kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.

Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Unaweza ukajipaka KVAnt halafu ukaingia msikitini kuswali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.

Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Ndio madhara ya kuandika huku unapiga nyungu sasa ndo umeandika nini?

Hayiipo
Diyonajisina
Salary
Anaekunwa
Unajipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.

Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Bibi unakimbilia wapi? Hebu kaa chini urudie kusoma ulichoandika. Shule ulienda kujifundisha ujinga au?
 
Back
Top Bottom