Hoja mujarabu kabisa hii!!Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio mask aliyoivaa hapo ni barakoa au banakoo?
Hata sabuni wanazotumia zina kilevi sijui wataepukaje kunajisika. Dini za kimwili matatizo kweli.View attachment 1439997
Sheikh Mohamed kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono ( Sanitizer ) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao.
Chanzo : EA TV
Nakala : FaizaFoxy
shehe anapenda sana,kuvaa mlegezo.Na perfume wasipulize
Hiyo mask ni ya watoto ama maana imefunika mdomo tu [emoji2957]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Umecheki hiyo barakoa ilivyovaliwa?View attachment 1439997
Sheikh Mohamed kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono ( Sanitizer ) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao.
Chanzo : EA TV
Nakala : FaizaFoxy
Unaweza ukajipaka KVAnt halafu ukaingia msikitini kuswali?Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Acheni dhihaka basiana ILIMU
Nadhani hilo ndio lengo la SheikhKwani lazima sanitizer?? Watumie maji tiririka na sabuni za kutosha ……..
Ndio madhara ya kuandika huku unapiga nyungu sasa ndo umeandika nini?Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Bibi unakimbilia wapi? Hebu kaa chini urudie kusoma ulichoandika. Shule ulienda kujifundisha ujinga au?Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.