Sheikh Walid Alhad Omar, Atoa ufafanuzi juu ya utofauti wa kuswali Idd siku Tofauti kwa Waislamu,Huyu anafaa kuwa Mufti..

Sheikh Walid Alhad Omar, Atoa ufafanuzi juu ya utofauti wa kuswali Idd siku Tofauti kwa Waislamu,Huyu anafaa kuwa Mufti..

Kuna watu wamebarikiwa Elimu na Hekma.....Basi huyu katika masheikh ni mmoja wapo ni mkweli hapepesi,Huyu anafaa kuwa kiongozi mkuu wa waislamu Tanzania Allah amhifadhi.
 
Njooni msikilize kwa makini ili muelewe.
 
Kama haumuelewi huyu sheikh mada anazotoa basi unakichwa kizito sana.
 
Uyu Sheikh makini yule aliyepita alikua anavijembe utadhani sio kiongozi wa dini bana.alikua akinikera sana.
 
Back
Top Bottom