GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Apr 22, 2023 Thread starter #2 Kuna watu wamebarikiwa Elimu na Hekma.....Basi huyu katika masheikh ni mmoja wapo ni mkweli hapepesi,Huyu anafaa kuwa kiongozi mkuu wa waislamu Tanzania Allah amhifadhi.
Kuna watu wamebarikiwa Elimu na Hekma.....Basi huyu katika masheikh ni mmoja wapo ni mkweli hapepesi,Huyu anafaa kuwa kiongozi mkuu wa waislamu Tanzania Allah amhifadhi.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Apr 22, 2023 Thread starter #3 Njooni msikilize kwa makini ili muelewe.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Apr 22, 2023 Thread starter #4 Kama haumuelewi huyu sheikh mada anazotoa basi unakichwa kizito sana.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Apr 22, 2023 #5 Uyu Sheikh makini yule aliyepita alikua anavijembe utadhani sio kiongozi wa dini bana.alikua akinikera sana.
Uyu Sheikh makini yule aliyepita alikua anavijembe utadhani sio kiongozi wa dini bana.alikua akinikera sana.